
PSLE 2025: 33 of 37 candidates with grade ADarasa la Saba 2025: watahiniwa 33 kati ya 37 wamepata A
Our best year so far: average 264 out of 300 and no grade below B. Congratulations to our pupils, teachers and parents.Mwaka wetu bora hadi sasa: wastani 264 kati ya 300 na hakuna daraja chini ya B. Hongera wanafunzi, walimu na wazazi.

