Since 2005Tangu 2005
Our storyHistoria yetu
St. Felista English Medium Nursery and Primary School was opened in 2005 by the Sisters of Our Lady of Kilimanjaro (C.D.N.K.) in the Archdiocese of Dar es Salaam, to give the children of Luguruni and Kibamba a sound education in English together with faith and good character.
The school has grown with its families. On 13 September 2022 a new building with a dining hall and classrooms was opened and blessed by Bishop Henry Mchamungu, Auxiliary Bishop of the Archdiocese of Dar es Salaam.
Today our pupils sit the national Standard Seven examination with confidence: from 2022 to 2025 every candidate passed with grade A or B.
Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza St. Felista ilifunguliwa mwaka 2005 na Masista wa Bibi Yetu wa Kilimanjaro (C.D.N.K.) katika Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, ili kuwapa watoto wa Luguruni na Kibamba elimu bora kwa Kiingereza pamoja na imani na maadili mema.
Shule imekua pamoja na familia zake. Tarehe 13 Septemba 2022 jengo jipya lenye bwalo na madarasa lilizinduliwa na kubarikiwa na Mhashamu Askofu Henry Mchamungu, Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam.
Leo wanafunzi wetu wanafanya mtihani wa taifa wa Darasa la Saba kwa kujiamini: tangu 2022 hadi 2025 kila mtahiniwa alifaulu kwa daraja A au B.






